¡Vacaciones de Invierno Kids! hasta 10% dcto  Ver más

menú

0
  • argentina
  • chile
  • colombia
  • españa
  • méxico
  • perú
  • estados unidos
  • internacional
portada Siri 7 Za Kuwa Hai Leo: Msingi wa Maisha ya Mafanikio (en Africanos)
Formato
Libro Físico
Idioma
Africanos
N° páginas
184
Encuadernación
Tapa Blanda
Dimensiones
20.3 x 13.3 x 1.0 cm
Peso
0.20 kg.
ISBN13
9789976505108
Categorías

Siri 7 Za Kuwa Hai Leo: Msingi wa Maisha ya Mafanikio (en Africanos)

Jacob Mushi (Autor) · Tanzania National Library · Tapa Blanda

Siri 7 Za Kuwa Hai Leo: Msingi wa Maisha ya Mafanikio (en Africanos) - Mushi, Jacob

Libro Nuevo

$ 41.856

$ 52.321

Ahorras: $ 10.464

20% descuento
  • Estado: Nuevo
Origen: Estados Unidos (Costos de importación incluídos en el precio)
Se enviará desde nuestra bodega entre el Lunes 05 de Agosto y el Miércoles 14 de Agosto.
Lo recibirás en cualquier lugar de Argentina entre 1 y 3 días hábiles luego del envío.

Reseña del libro "Siri 7 Za Kuwa Hai Leo: Msingi wa Maisha ya Mafanikio (en Africanos)"

Kitabu hiki nimeandika kwa ajili yako. Kuna mambo mengi sana ya kujifunza ndani ya kitabu hiki na nina imani kitakua ni sababu ya wewe kusogea katika eneo lile ulilokua na kwenda mbele Zaidi.Utajifunza, Jinsi ya Kujua Kusudi Lako, Siri na Sababu za Kuwepo Hapa Duniani, Kugusa maisha ya wengine, Kufikia Ukuu, Kufika kilele cha Mafanikio, Kuishi maisha bora, Kutengeneza Na Mungu Wako, Kutambua kile Mungu ameweka ndani yako, Kufikia Ushindi Mkubwa.Watu wengi wanaishi Maisha ambayo hayana mwelekeo, wanafanya kazi wasizozipenda, wanaishi Maisha wasiyoyataka kwa maana kuwa hayawapi furaha. Hii yote inaletwa na kutokujua sababu hasa ya wao kuwepo hapa duniani. Kitabu hiki kitakwenda kukufungua macho.Utajifunza: Kusudi la Wewe Kuwa Hai.Ili uweze kuishi Maisha yenye mwelekeo mzuri na kujua ni kipi hasa unapaswa kufanya kila siku ni hadi utakapoweza kutambua kusudi la wewe kuwepo hapa duniani. Kitabu hiki kimeeleza namna yaw ewe kugundua kusudi lako.Kugusa Maisha ya Wengine.Kila unachokifanya hapa duniani kinaongezeka sana endapo kitakuwa kinagusa Maisha ya wengine. Kiwango cha Maisha uliyogusa ndio kiwango cha mafanikio yako.Kutengeneza Historia Mpya.Ni alama gani unataka kuacha hapa duniani? Haijalishi umeshafanya makosa mangapi kuwepo kwako leo kunakupa nafasi ya kutengeneza historia mpya. Kitabu hiki kitakupa mwongozo huo.Kuishi Maisha ya Ushindi.Unatakiwa uishi Maisha ya ushindi kila siku kwenye kila unalolifanya. Utajifunza mbinu za kupata ushindi kwenye kila unachokigusa na mikono yako

Opiniones del libro

Ver más opiniones de clientes
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)

Preguntas frecuentes sobre el libro

Todos los libros de nuestro catálogo son Originales.
El libro está escrito en Africanos .
La encuadernación de esta edición es Tapa Blanda.

Preguntas y respuestas sobre el libro

¿Tienes una pregunta sobre el libro? Inicia sesión para poder agregar tu propia pregunta.

Opiniones sobre Buscalibre

Ver más opiniones de clientes